MKAKATI MKAKATINI AWAMU YA PILI KUTIKISA IRINGA
Mwenyekiti wa CCM Manispaa ya Iringa, Said Rubeya amesema
wanaandaa hatua ya pili ya mkakati mkakatini inayolengwa kuwaeleza wananchi
nini kimefanyika ndani ya siku 100 za CCM kuongoza halmashauri ya Iringa Mjini kwa kuwa na Meya.
Amesema kupitia mkakati huo kamati ya siasa ya Iringa Mjini, watafanya
ziara kwenye kata zote wakiongozana na Meya wa Manispaa Iringa, Mbunge Jesca
Msambatavangu, Mkuu wa Wilaya ya Iringa DC Richard Kasesela.
“Ni lazima tuwaambie wananchi nini kimefanyika tangu tuchukue
halmashauri,” amesema.
Comments
Post a Comment