KAMATI YA SIASA YA CCM YAENDELEA NA ZIARA KUKAGUA MIRADI YA MAJI VIJIJINI
Kamati ya Siasa ya CCM ikiongozwa na Mwenyekiti Dr Abel Nyamahanga, inaendelea lea na ziara ya kukagua miradi ya maji Vijijini nayosimamiwa na Wakala wa Maji Safi na Mazingira Vijijini (RUWASA)
Lengo okubwa la ziara hiyo ni kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM ya kuhakikisha wananchi vijijini wanpatiwa maji safi na salama ili kumtua mama ndoo kichwani.
Comments
Post a Comment