DK NYAMAHANGA AMUHAKIKISHIA RAIS MAGUFULI USHINDI WA KISHINDO IRINGA
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa Dk Nyamahanga amemuhakikishia Rais John Pombe Magufuli ushindi wa kishindo kwa madiwani wote, wabunge na Rais.
Dk Nyamahanga alizungumza wakati akimkaribisha Rais John Pombe Magufuli, kuzungumza na maelfu ya wakazi wa Iringa waliokuwa wamefurika katika mkutano wa kampeni, kwenye uwanja wa Samora mjini Iringa.
Comments
Post a Comment