HAWA NDIO WASANII WATAKAO PAMBA UWANJA WA SAMORA JUMATATU, HII SIO YA KUKOSA!
Hii ndiyo orodha ya wasanii watakaopamba uwanja wa Samora siku ya Jumatatu, Septemba 28,2020. Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Rais Dk John Pombe Magufuli atahutubia mamia ya wakazi wa Iringa.
1.Shilole
2.Aslay
3.Becka
4.Enock
5.Mr Blue
6.Rayvanny
7.Bwax
8.Harmonize
9.Maua
10. Ezenice
11. Nyamidela
Na wengine wengi kutoka ndani na nje ya Iringa
Comments
Post a Comment