"KARIBUNI IRINGA, KARIBU USIKILIZE SERA ZA CCM, SERA ZA MGOMBEA WETU, RAIS JOHN MAGUFULI" - MJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA
"Wananchi wote wa mkoa wa Iringa naombeni mjitokeze kwa wingi kwenye mkutano wa Mh Dk John Pombe Magufuli, Mwenyekiti wa CCM Taifa na Mgombe wa URAIS kupitia CCM. Ni uwanja wa Samora," Salim Asas - Mnec
Comments
Post a Comment