Pinda; Wabunge wa Iringa watashinda, CCM tumejipanga vizuri sana!


 Waziri Mkuu Mstaafu na Mlezi wa CCM Mkoa wa Iringa, Peter Pinda amesema wagombea ubunge wote wa CCM katika mkoa huo, likiwemo Jimbo la Iringa mjini watashinda.

"Tumejipanga vizuri sana ndio maana hata katika kuhamasisha watu kuja uwanjani kazi imekuwa nyepesi sana," amesema.

Pinda alikuwa akizungumza katika mkutano wa hadhara wa Mgombea Urais, John Pombe Magufuli uliofanyiwa uwanja wa Samora ambao mamia na wananchi wa Iringa walihudhuria.

Comments

Popular posts from this blog

MWENYEKITI WA UVCCM TAIFA AMALIZA ZIARA MKOA WA IRINGA KWA KUTEMBELEA IRINGA MJINI

IBRAHIM NGWADA; TUTASIKILIZA KERO ZA ARDHI KILA ALHAMISI YA MWISHO WA MWEZI

MKAKATI MKAKATINI AWAMU YA PILI KUTIKISA IRINGA

SIKU YA TATU YA ZIARA YA MWENYEKITI WA UVCCM TAIFA COMRADE KHERI JAMES; ATEMBELEA IRINGA VIJIJINI

RAIS MAGUFULI KUTUA IRINGA JUMATATU, SEPTEMBA 28, 2020