UPATIKANAJI WA MAJI SAFI NA SALAMA WAFIKIA ASILIMIA 74.2 TOKA ASILIMIA 69.3 mwaka 2015 - Ilani ya CCM (2015-2020 MKOANI IRINGA)
Utekelezaji wa Ilani ya CCM - Mkoa wa Iringa (2015-2020)
Hali ya upatikanaji
wa maji safi na salama mkoani Iringa imeongezeka kutoka asilimia 69.3 mwaka
2015 mpaka kufikia asilimia 74.2 mwaka 2020.
Idadi ya wanaopata huduma ya maji ni 812,612 kati ya watu 1,095,172.
Tumetekeleza kwa
Kishindo, Tunasonga Mbele Pamoja
Comments
Post a Comment