NI USHINDI WA KIMBUNGA, IRINGA MJINI YAZIZIMA, CCM YANG'ARA KWENYE MAJIMBO YOTE IRINGA

Ushindi wa kimbunga wa CCM katika Jimbo la Iringa mjini, umelifanya jimbo hilo kuzizima kwa shangwe hasa Jesca Msambatavangu alipotangazwa mshindi. Jesca amemuangusha Peter Simon Msingwa, mbunge mstaa wa Chadema aliyeongoza jimbo hilo kwa miaka 10 HONGERA KWA MADAM JESCA MSAMBATAVANGU