TAZAMA MBINU WALIYOITUMIA UWT MKOA WA IRINGA KUMUOMBE KURA RITHA MLAGALA KISINGA
Umoja wa
Wanawake Mkoa wa Iringa (UWT) waliamua kupiga magoti kuwaomba wapiga kura
wampigia kura za kishindo mgombea udiwani wa kata ya Kising’a, Ritha Mlagala.
UWT wakiongozwa na Mwenyekiti Nikolina Lulandala na katibu wake, Angela Milembe walitua Kising’a kumuunga mkono Mlagala, akiwa miongoni mwa wagombea wanawake.
Pia walimwombea kura Mbunge, William Lukuvi na Rais John Paombe Magufuli
Comments
Post a Comment