MBIO ZA KIHESA NA JULI SAWANI
Hivi ndivyo Mgombea Udiwani wa kata ya Kihesa, Juli Sawani na makada wa CCM walivyokimbia mchaka mchaka kuhitimisha kampeni zilizofanyika eneo la Semtema jana.
Sawani aliwaahidi wananchi wa Kihesa kuwaletea maendeleo ya kweli na kuwaomba wampigie kura za kishondo yeye, Jesca kwa Jimbo la Iringa Mjini na Rais John Pombe Magufuli
Comments
Post a Comment