Dk Nyamahanga ; 2025 tusijiandae kwa maneno
Mwenyekiti wa CCM w Mkoa w Iringa, Dk Abel Nyamahanga
amewashauri wabunge na madiwani wa CCM wa Mkoa wa Iringa kushikamana na
kushirikiana katika kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010.
Amesema mwisho wa Uchaguzi ni mwanzo wa Uchaguzi mwingine hivyo
2025 siyo ya kujiandaa kwa maneno bali kwa vitendo.
“Hata kama huna mpango wa kugombea 2025, chapa kazi
kuihakikishia ushindi CCM” alisema.
Dk Nyamahanga alikuwa akizungumza wenye kikao maalum cha
Wabunge na Madiwani wa CCM wa Mkoa wa Iringa kilichokuwa kinaongozwa na Mlezi
wa CCM wa Mkoa wa Iringa, Mh Mizengo Pinda.
Comments
Post a Comment