Uhai wa CCM; Katibu wa CCM Mkoa wa Iringa akikagua maendeleo ya ujenzi wa Ofisi ya CCM Kilolo na nyumba ya UVCCM
Ukizungumzia uhai wa chama ni pamoja na uwepo wa ofisi nzuri na nyumba za watendaji.
Katibu wa CCM Mkoa wa Iringa,
Brown Mwangomale na viongozi wengine wa CCM Mkoa wa Iringa, wamefanya ziara
kukagua nyumba ya Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana Iringa na Ofisi ya CCM
Wilaya ya Kilolo.
Comments
Post a Comment